ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO"
Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani
Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa,
''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za
MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU kwako na MOYO
Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye simu YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma
kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian
Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo
Maish Ya Dunian Ni Mafupi%
No comments:
Post a Comment