mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

sms za usiku



Uzuri wa usiku si giza lifunikalo dunia wala si kimya kinachotawala mazingira bali ni njozi njema zenye maono na matarajio yenye mafanikio. Nakutakia ucku mwema
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*
Kama jicho langu halija kuona basi moyoni daima nakukumbuka na ikiwa dua zangu hazijakulinda basi mungu daima
atakulinda,nami cna budi kukutakia usiku mwema.
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*
Upendo ni tiba maradhi hukimbia. Salamu ni shiba biriani yazidiwa. Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia. Kwa furaha na mahaba sichoki kusalimia. Usiku mwema
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Salio la macho yako halitoshi kuendelea kuona kwa sasa tafadhali tandika kitanda na ulale,kwa maelezo zaidi subiri usingizi ukolee uote ndoto nzuri. usiku mwema!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi  wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika  ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa
wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho
usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyoijua.usiku mwema
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi  zako.usiku mwema
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Jns navyozd kuongea nawe nataman kuwa krb yako,ni chezee zako lips na mwili wako kuukumbatia.nataman kuwa nawe kwan nna meng ya kukuambia.nilee penzin na moyon unitunze.ucku mwema mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Usiku mwema mpenzi wangu, upepo wa khuba ukuliwaze katika wako mnono usingz! nakupenda kutoka kwenye chembe ya kulia ya moyo wangu mkunjufu, ulale unono dia!
Nakupend laaziz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
natamani kuona macho yako ukiyafumba,natamani kusikia sauti za chini za ndoto zako za ucku,natamani kukuona ukijigeuzageuza kitandani! Natamani busu lako la kunitakia ucku mwema ,lkn yote hayo hayawezekani kwakuwa 2po mbali! Nakupenda dear.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
sasa ni usiku najua utakuwa umechoka kwa kazi kutwa nzima ya leo,pumzika mpenzi wangu,ukipanga mambo ya kesho ,lkn elexa ki2 kimoja ,hakuna mwingine moyoni mwangu zaidi yako!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
ulikuwa mwanzo mgumu sana kwangu ,lkn moyo nikajipa na kukuweka wazi kuwa nakupenda!
Sikuamini ulivyonikubalia na kunikaribisha moyoni mwako ,nakupenda sana dear ,usiku mwema laaziz wangu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
ajua kazi za kutwa nzima leo zitakuwa zimekuchosha sana mpenzi wangu,pumzisha akili yako na mwili wako kwa ajili ya kufanya kazi tena kesho.pole sana dear!nakutakia usiku mwema
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
akili yako imechoka,hata mwili wako pia!huu ni wakati wako wa kupumzika mpenzi,nakutakia usiku mwema,lkn uache moyo wako uwe macho kwa kuwa yupo anayekupenda kwa dhati! Nakupenda sana mpenzi wangu,pokea busu mwanana . . .mwaaaaaa . . . . .
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Namini utakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi mpenzi, badili yako mavazi, bafuni ingia upate maji kujimwagia, nakupenda la azizi, pole sana na kazi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Giza limeingia simuoni wakunikumbatia niko kama kinda la njiwa na zaidi ya mshitakiwa mwenye hatiya, sjiui wapi joto kwa kwakulipatia na wajua kipupwe kimewadia, uko wapi my dear?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nnahmu! nnahamu, Nnahamu jmani nnahamu, Nnahmu mpka nashindwa kujzuia,Ninhmu ya kkutkia ucku mwemw.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
usiku huu tulivu nikiwa nimejilaza kitandani natamani nisikie sauti yako ambayo hunikosha na kunikosesha raha nisipoisikia.uwembamba Wa Sauti Yako Hupenya Kwenye Ngoma Ya Masikio Yangu Hunitekenya Na Kuniacha Nikifurahi. Nakupend Wangu Kipenzi
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*
('.') Mh!
<(   )>
_/  /_
Nmechoka kusimama hapa kusubiri sms yako ya kunitakia usiku
mwema. Naenda zangu kulala miguu isije ingia ndani bure...!GD9T
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*
Usiku Ni "utulivu"
Usiku Ni "mzuri"
Usiku Ni"upole"
Usiku Ni "kimya"
Lakini Usiku
Haujakamilika
Bila..Kukutakia
Wewe..
U
S
I
K
U=m=w=e=m=a.
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba
ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
............................
......................
  , - .(. - .
        '.MOYO.'
   WA ' . 
. . 'NGU
 unakusaka popote ulipo ili
 ukudokeze ujumbe usemao;

U~S~I~K~U~ ~M~W~E~M~A~
................
  Neno " USIKU MWEMA" halimaanish kuwa ni mwsho wa cku,
bali ni njia yakukuonyesha kuwa nakukumbuka kabla cjalala,
nadhan unatambua thamani yako kwangu, usikumwema
.....................
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,
 UPENDO  si picha yangu ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia usku mwema.
....................................
 Hisia njema na nzuri ni pale  unapodhani nimekusahau
na kukutenga na ghafla ukapata  ujumbe wangu kuwa
ninakukumbuka,ninakujali na kukuombea, ucku mwema
 .....................................
. Nikisema
"-.-"    "m2 muhimu"
Namaanisha
M2 namthamini,
M2 namjali,
M2 nampenda,
M2 namheshim
M2 huyo  c mwingine ila ni ww ninayekutakia
 USIKU MWEMA.
................................
 "UPENDO" ni kawaida yangu
 "CHUKI" SI busara kwangu, "KUISHI"
Na watu vizuri ni sehemu ya maisha yangu,
kuwasalimu niwapendao ni hulka yangu.. Gd9t
........................
  Mimi si Milionea, ila TAJIRI
wa MOYO MKUNJUFU!
Mie si zaidi,
 ila nafanya NIWEZALO!
Sifanyi
sahihi kwa kila jambo,ila kwa hili
 nipo sahihi Kukutakia usiku mwema.
................................
Neno "USIKU MWEMA" halimaanishi kuwa ni MWISHO wa siku, bali ni njia ya kuonyesha kuwa nakukumbuka, nakujal, nakuthamin, nakupenda na kukuombea kabla SIJALALA! Nadhani utatambua una THAMANI gani kwangu!! ... Nakutakia USIKU MWEMA!na njozi nzuuuuuuri!! Lala xalama
.....................
 Usiku Ni "utulivu"
Usiku Ni "mzuri"
Usiku Ni"upole"
Usiku Ni "kimya"
Lakini Usiku
Haujakamilika
Bila..Kukutakia
Wewe..
U
S
I
K
U=m=w=e=m=a!
........................
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi  HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi.  Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde  na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.
.........................
 Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
.........................

Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli 'QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
..............................
kila kilicho ""MOYONI"" si rahisi kukitoa,Akuthaminie Hukuona ""GHALI"",akukumbukae juwa amekuhifadhi ""MOYONI"" na ""AKUNPENDAE"" Hachoki Kukuombea ""MEMA ucku  mwema  hny.
...............................
  >Nipo dukani nafikria nikununulie zawadi gani kubwa kuliko zote.      >Nimeona "UPENDO" inavutia,
  >pembeni nikaona tena "AMANI" inapendeza,                   >sijasogea nikaona "FURAHA" nikacheka nikabeba vyote,                 >nilipotaka kulipa mwenye duka kaniambia "MUNGU" keshanilipia, nami nimevituma kwako naomba uvipokee. Nakutakia ucku mwema!
.......................
Hongera umezawadiwa safari ya kwenda KULALA  iliyoandaliwa na shirika la USIKU na kudhaminiwa na kampuni ya USINGIZI utapanda gari aina ya KITANDA lenye namba za usajili NJOZI NJEMA ukiwa safarini unashauriwa kufunga mkanda aina ya NETI au SHUKA ili kujikinga na AJALI ya   MALARIA.Pia usikose kupulizia dawa.
........................
Kutokana na kipaji changu cha kutabiri, nayaona yafuatayo kwako:
1. Umeshika simu yako ya mkononi.
2. Unasoma hii habari.
3. Wewe ni binadamu hai kabisa.
4. Huna jeuri ya kusema neno PIPI bila kufungua mdomo.
5. Ha ha ha nakuona umejaribu kusema neno PIPI.
7. Unajicheka mwenyewe.
8. Nimeona meno yako.
9. Unatabasamu!
10. Umeruka namba 6.
11. Ha ha ha ha unacheki kama kuna namba 6.
12. Umetabasamu!

....Nilipe gharama ya utabiri .UCK MWEMA
..........................
Read More ->>

visitors comments