mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

sms za kirafiki

rafiki mtamu ni kama mto,ukichoka unalala juu yake akihuzunika unadondosha chozi juu yake,ukifurahi unamkumbatia mungu akulinde na kukujibu haja zako daima.
         •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
waridi jeusi kwa adui pink kwa rafiki maalum,njano kwa kila lakheri ,jeupe kwa amani jekundu kwa mapenzi  je?wewe utanipa lipi?
        •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nipe kile ambacho nakihitaji,nipe nami niridhike,nipe bila ya kufikiria,nipe bila ya kujutia,nipe kwa kuzingatia,nipe kwa kufurahia,nipe nipate tulia,nipe nami nikupe..sio kingine ila ni salamu tu.
 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Leo lazima nikupe ukweli wako hata ikuchome poa tu,ikuhuzunishe sitojali,ukinunia milele safi tu,ukizimia shwari si kuwa nakuogopa vile upo mbali wala!hata tukiwa karibu nitakuambia tu,maana umezidi kila siku nilikuwa nasahau kukwambia kwamba ni mmoja ya watu ninaowapenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Anayekujulia hal
  ''AMEKUWAZA''
 anayekuwaza
 ''AMEKUMBUKWA'
 anayekumbukwa
  ''ANAKUPENDA''
anayekupenda
 ''ANAJUA THAMAN YAKO.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nilichomeka ukachomoa ukadai hujazoea,nilitaka kuchomeka tena ukawa umeshkilia hutaki nichomeke,ikabidi nikuvizie ukiwa umelala,uliposhtuka  ukakuta nmechomeka ukaamua kuchomoa tena ,hapo nikaamua nikuache ung'atwe na mbu hadi asubuhi sbb hujui umuhimu wa net.
 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea kwani si wakwanza katika hii dunia, mpenzio kumfumania, wengi huwatokea katika hii dunia, tulia na vumilia Mungu atakupatia mpenzi aliyetulia, pole rafiki yangu klpenzi ndiyo mambo ya dunia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
rafiki mwaminifu ni mlinzi mahiri na aliyempata amepata hazina isiyokuwa na kifani,ahsante kwa kuwa rafiki mwaminifu.
         *°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*

Read More ->>

visitors comments