.;"";. .;"";.
'+, " ,+'==>?
"+,+"
Hii ni zawadi ya upendo kutoka kwangu ihifadhi ili upate kunikumbuka kama ninavyo kukumbuka.asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mpenzi sijui umenipa kizizi maana huishi kunijia kwenye njozi, hakika kwako sijiwezi, nadaka kila nikikuona kwenye lako pozi na usiku ukifika ndipo hutawala zangu njozi, tafadhali mpenzi usiniweke pozi, u hali gani la azizi?
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako, nakupenda mpenzi.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
hi baby mambo
nakupenda sana yaan kiac kwamba nikikutomasa haifai,nikikukic haifai na nikikumbatia haifai,ila kuna jambo moja 2 umesahau kunitimizia ,itmze raha nayotaka je n jambo gan?.asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Asubuhi imefika ni muda wa kujiandaa na pilika, lakini kazini ukifika isisahau
kutumia japo nusu dakika rafiki zako salamu kuwapa, swawabu utapata! Asubuhi
njema.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Jamani msg huwezi kunitumia, hata bipu nipate jua rohoni nimekuingia, ila ukata
umekuingia. U hali gani dia?
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Dunia ime2lia jua lmezama ndege kwenye mit wame2lia ,wa2 wote wamelala lkn mm bdo namuomba mungu awa2me malaika kwenye ktanda chako wakulnde.g9t
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kuna vitu viwili zinavyoniamsha asubuhi na mapema: Alamu ya saa yangu na wewe
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
nina mambo saba ya kukuambia ,lakini kwa sasa nakumbuka 6tu,bila shaka matano ndio muhimu kwa leo ,ila unayopaswa kujua ni manne kwa sasa ,oooh usijali nitakuambia ma3 tu,ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na ma2 muhimu,ila yatakugusa sana na kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme moja tu .asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
najua mimi sio wa kwanza kukuombea mema ,ila napenda kuwa ni mmoja kati ya wanaokutakia asubuhi njema.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°
Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakujakwako .ila taabu nashida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.mawazo mashakana kukata tamaa wapo jela.ushindi utajiri na amani wapo njiani wanakuja asubuhi njema
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Asubuhi imefika ni muda wa kujiandaa na pilika, lakini kazini ukifika isisahau
kutumia japo nusu dakika rafiki zako salamu kuwapa, swawabu utapata! Asubuhi
njema.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
,¤'''¤ .,. ¤'''¤,
¤ K A D I YA ¤
'¤ mwaliko ¤'
'¤,, *:-) ,,¤'
"¤,:,¤
Familia ya KUMEKUCHA na ASUBUHI wa MWANGA inayo furaha kukualika kwenye sherehe ya mwanae *CHAI anaefunga ndoa na ANDAZI ktk ukumbi wa MEZANI. kuamka kwako ndio mafanikio ya sherehe hii. Asb Njema.
...............................
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
"Ni Waridi pekee"
sio Miti yote Hustawi Jangwani
"ni Mtende pekee"
sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?
.........................
\ ! ! /,
_- 0 -_
_ -^-_-^-__-^-_
---------------------Jua limechomoza,
Ucku umepita, asubuhi imefika Unapotafakari mema ya Mungu ya siku nzuri ya leo:
Wasamehe waliokukosea, Wapende wanaokuchukia! Wakumbuke waliokusahau na Uilinde Amani ya MOYO wako isipotee, ASUBUHI NJEMA.
....................
Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.
......................................
Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
............................
Nilipoamka Asubuhi hii!! Mawazo yangu yote yalikuwa juu yako. Nikajiuliza Nikufanyie nini 'Ewe Ndugu yangu Mpendwa ili Ufurahie Siku nzima.! Nikapata Jibu, kwa Furaha na Tabasamu ni Dua tu Ndio Jambo Kubwa: @Ya Allah, @Ya Rahman, @Ya Rahim, Nakuomba MOLA wangu: -Umuenzi, -Umlinde, -Mtunze, -Muepushe na Kila Balaa na Husda za watu Wabaya, Kwani Mtu huyu ni Mwema Sana Kwangu: -Mfungulie Riziki za Halali, na Msamehe Anapokosea na muitikie dua zake na zangu kwa jambo lolote la kheri!
Aamin..S.Njema.
.....................
Chai maalum kwa ajili yako asubuhi hii! Ila haina sukari lakini ina viungo kama UPENDO, FURAHA,KUKUJALI na kukutakia asubuhi njema..!
....................
Unaamka asubuhi unakuta missed call saba kwenye simu yako,
1. Anayekudai
2. Unayemdai
3. Baba yako
4. Mama yako
5. Kaka yako
6. Dada yako
7. umpendae, Je utaanza kumpigia yupi ?
..........................

"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitikisa kichwa tu inatosha!
...................