mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

macho huona na moyo hurdhia

macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha  bdo cjamjua.

No comments:

visitors comments