"""""Yule"""""
Anipendezae lazima nimkumbuke""
""nimpe salamu ""moyo""
wangu ""uridhike""
""Nimuombee kwa
MWENYEZI ""MUNGU"" mabaya yamuepuke""
""na kila lililo la kheri kwake lisiondoke''"
""nakutakia''"
"ucku mwema"
%lif£%
............................
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia a$ubuhi MWEMA
......................
Ifanye furaha yako ibubujike moyoni mwako kama maji ya uzima
-_-_-_-_-_-
Upendo wako ukue na ustawi kama miti
,:*"*;, ,:*"*;,
*; %,* *; %,*;
__)(__
..................................
H A I
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi.
HAIIIIIIIIIIIII!!!
..........................
No comments:
Post a Comment