mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

ladha za sms kwa wako kipenzi

"CHAI"  bila sukari hainyweki.
"ASALI" bila nyuki haitengenezeki.
"PETE" bila kidole haivaliki.
Na "MIMI" bila ya kukusalimia wala siridhiki!  mwidiwe mpase pokea maneno yafuatayo "I LOVE  YOU" pokea my lovely  kiss "MWAAAAAAA"  my best wishes 
 mtumie umpendae
kama na mm nimo nirudishie.
                
...................
Hii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwagilie maji ya FURAHA,iwekee kivuli cha  USHIRIKIANO, ipalilie kwa jembe la KUSAMEHE, iwekee mbolea ya AMANI, ipige dawa  ya NENO LA MUNGU, itakayoua wadudu wote  waharibifu kama ubinafsi, chuki, wivu, dharau, unafki, kiburi, choyo, tamaa na fitna kwenye mmea huu, MMEA HUU  (UPENDO) UENDELEE KUWA MCHE BORA KULIKO YOTE KTK MAISHA YAKO SIKU ZOTE.
................................

No comments:

visitors comments