chemsha Akili
chemsha akili kidogo...!! then unipe jibu . nguo inauzwa 10000/= huna pesa ukaendakukopa kwa dada 5000/= na kaka 5000/= jumla 10000/= ukaenda dukani ukaomba upunguziwe ukauziwa 9700/= ukabakiwa na 300 ukapunguza deni kaka yako ukampa 100 dada ukampa 100 ukabaki na 100 jumla kaka akawa anakudai 4900 na dada 4900 ukijumlisha unapata 9800/= ukiongeza na 100 yako uliyobakinayo unapata 9900/=je? 100 iko wapi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment