mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

ITAKUA" Kama "NDOTO

ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ''KILIO' 'HUZUNI' SIMANZI'' na "MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU kwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye  simu YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi%

No comments:

visitors comments