mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

story fupi ya kimapenzi

Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!! Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani .........................

No comments:

visitors comments