STORY NZURI
YA UPENDO
Kulikuwa na vipepeo wawili
waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba.
Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA,
atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo jike alienda mapema
sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe dume alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda...!!
Jee...!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
..........................
No comments:
Post a Comment