ITAKUA" Kama "NDOTO" Pale "MOYO" Wangu Utakapozima Kama "MSHUMAA" Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie "SAUTI" Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. "KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI" Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za "MOYO" Wako. MACHOZI" Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu
No comments:
Post a Comment