MPZ
nimekumiss jamani........
sipati
meseji wala simu sijui kwanini?
nikikumbuka tunayoyafanya kitandani
nikikumbuka tunayoyafanya kitandani
,natamani
ungekuwa nami pembeni
nakunipa yasiyo kifani, nakupenda
nakunipa yasiyo kifani, nakupenda
siutani
honey
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Unaweza
kunimiss mi2 wakati wowote unaweza
kunidhalau pia unaweza kunisahau lkn
siku moja kama unataka kuniona
we angalia kivuli chako.
kunidhalau pia unaweza kunisahau lkn
siku moja kama unataka kuniona
we angalia kivuli chako.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
bibi yangu mlaani asiyenipigia cm,
kunbeep wala kunitumia sms jpo kwa siku mara1
.ka simu chake kaibiwe au kapate matatizo
ya network,batery iwe low mara kwa mara au
kazime bila sbb yeyote,kawe kanasumbua
kuptiliza,au kaanguke,
kapasuke,aaameen .
nimemmiss
sana
kunbeep wala kunitumia sms jpo kwa siku mara1
.ka simu chake kaibiwe au kapate matatizo
ya network,batery iwe low mara kwa mara au
kazime bila sbb yeyote,kawe kanasumbua
kuptiliza,au kaanguke,
kapasuke,aaameen .
nimemmiss
sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nalia
ukiwa
''MBALI''
nachukia
nicpo
''KUONA''
najuta
ninapo
''KUUDHI''
naumia
unapo
''NITENGA''
nateseka
ukiwa
''KIMYA''
ninafurahi
UKINIKUMBUKA
lakini
cku moja tutakuwa pamoja
nimekumiss
sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wangu
kipenzi ninayekuenzi, jua wanitia
uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama
una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima
huo usingizi, la azizi nimekumiss
kichizi, u hali gani mpenzi?
uchizi na kuninyima usingizi, sijui kama
una kizizi au ni mapenzi ndiyo yaninyima
huo usingizi, la azizi nimekumiss
kichizi, u hali gani mpenzi?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi
najua u-mbali nami, majaribu ni mengi
wapaswa kujihami, nituniye zangu
zabibu wangu tabibu,
jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja
kukutibu,
miss u ma luv.
wapaswa kujihami, nituniye zangu
zabibu wangu tabibu,
jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja
kukutibu,
miss u ma luv.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua
unanipenda lakini nataka kwenda
sasa ni miaka
kenda, ndoa wazidi ipiga kalenda, sioni
sababu ya kukutenda ndio maana
nataka kwenda! I will miss u.
sasa ni miaka
kenda, ndoa wazidi ipiga kalenda, sioni
sababu ya kukutenda ndio maana
nataka kwenda! I will miss u.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
macho
yang hutaman kukuona,mdomo wang
hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,
uko mbali nami ila mwili wangu
upo kwa ajili yako dear
hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,
uko mbali nami ila mwili wangu
upo kwa ajili yako dear
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mambo
yako adimu ndiyo yanayonipa
wazimu,
nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye
wako utamu, la azizini lini
utakuja kunitoa hamu,
hakika nimemiss wako utamu na
kwa kuupata
sifahamu maana ni wewe tu ndiyo
mtaalamu. Miss u
wazimu,
nikuonapo hupatwa hamu, hutamani unipatiye
wako utamu, la azizini lini
utakuja kunitoa hamu,
hakika nimemiss wako utamu na
kwa kuupata
sifahamu maana ni wewe tu ndiyo
mtaalamu. Miss u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
hakika huwa nakosa raha pindi tunapo kosana,
naomba ufahamu kuwa malumbambano yetu
ni furaha kwa wabaya wetu,nimekumiss
,naomba unipe nafasi nyingine
nakuahidi sito umiza wako moyo
naomba ufahamu kuwa malumbambano yetu
ni furaha kwa wabaya wetu,nimekumiss
,naomba unipe nafasi nyingine
nakuahidi sito umiza wako moyo
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nimetembea
ardhini kutafuta mfano wk,
nikaangaza hewan nimpate nusu
yk,nikazunguka duniani
nimuone
nikaangaza hewan nimpate nusu
yk,nikazunguka duniani
nimuone
robo
yako,kwakwel cjabahatika nafac hii ni yk.
ilove u my hearty mungu akuweke
akupe maisha mazur
ilove u my hearty mungu akuweke
akupe maisha mazur
yenye
furaha na upendo.
g9t dear miss u somuch.
g9t dear miss u somuch.
·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
,%'''%
,.,..%'''%,
%' %
'% MWAAH
%'
'%, , %'
"%,:,
%"
Ucmwambie
m2 km nimekukiss! Jioni njema
·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
No comments:
Post a Comment