mmmmh


oo

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

radhi kwa mpenziHivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwaza
lakini kwa hakika hii ni mara yangu ya kwanza naamini,naamini utanisamehe laaziz
na kunipa nafasi ya kulienzi lako penzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kasha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mapenzi ni usanĂ­i ukiigiza utashindwa,mapenzi yanatoka moyoni wengi walioigiza walishatengana,mpenzi wangu usiniache.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe . .
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mpenzi nashukuru nikikuacha nitakuwa ninakufuru mi ndiyo mpenzio na hauna mwenzako mpenzi kuwa huru.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Siamini kilichotokea, hakika nimekukosea, lakini naapa katu sitorudia, upuuzi niliokufanyia, najua jinsi gani waumia ndiyo maana umeninunia, nisamehe mpenzi nafsi yangu ipate kutulia kwani bila wewe sin thamani katika hii dunia!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kina ninapokukumbuka machozi yanidondoka, hivi leo mwana wa mwenzio ninaumbuka kwa kuparamia mapenzi kwa pupa, ukweli nakupa, hivi sasa najuta! Nisamehe mpenzi.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana, pokea busu mwanana....mwaaaaaaaa...
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi wangu naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nakukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! Naamini nitaendelea kuwa mwaminifu kwako, sio leo tu, bali siku zote za penzi letu!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tukae kimya sheteni apite, naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa sheteni ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe kwangu ni kila kitu, sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu! Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako, nakupenda sana dear!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mimi kwako ni kipofu, nishike mkono tuvuke barabara, magari ni mengi na yanapita kwa kasi, siwezi kuona zaidi ya kusikia yakiunguruma, honi za magari siwezi kupima umbali wake, usiniache katikati ya barabara nitagongwa na kufa mara moja! Njoo niokoe nitagongwa mpenzi wangu! Forgive me dear...
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Japo umeniuzi sina budi kukupa hizi pongezi, sijui umejifunza wapi mapenzi, hakika kwako mi ni mfungwa wa mapenzi! Nakupenza mpenzi nitunziye langu penzi!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

maneno million  haliwez kulirudisha pendo lako najua kwasababu nimejaribu,pia machozi million haliwez kulirudisha najua kwasababu nimelia.
*°·.¸¸.°    °·.¸¸.°*

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe

nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!
...........
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda

kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali
walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi

kukufuta machozi kwakukupa la dhati
penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako

chozi, na daima nitakuenzi.
Read More ->>

visitors comments