1. Mfa maji?… tampa life jacket.,
2. Mwenda pole?…tachelewa fika.
3. Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
4. Usilolijua?…uliza google.com.
5. Mbio za utelezini?…chafua guo yako.
6. Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
7. Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
8. Maji yakimwagika?…mambie dada ta- deki.
9. Chelewa chelewa?…takosa guo ya
... sukukuu…..
10. Kila ndege .....? Hutua Airport 11. Bandu bandu ....? bandu bandu nini, bandua iyo bana..
12. Mtaka cha Mvunguni ....? Binua tanda .
13. Simba mwenda kimya .....? Iko gonjwa kama sio gonjwa iko fungwa na Yanga..
14. Aisifuye mvua ....? Mkulima
15. Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika
16. Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
17. Asie sikia la mkuu ....? Tapeka jela
18. Hasira za mkizi ....? Tatafuna veve
19. Ujanja mwingi....? Hapana mpa kazi taibia yeye
20. Akumurikae mchana ....? Kipofu
21. Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
22. Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
23. Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
24. Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu
yeye
25. Akili nyingi ….? Tapasi mtihani
26.penye wengi.....? iko kutano ya CUF
hapo
27. debe tupu....? tia dengu
..................................
WACHAGA NA BIASHARA!? Ona tangazo la
biashara kwenye duka la mrombo: pata
sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku,
sambusa, tairi za trekta, madaftari, bia aina
zote, petroli, dizeli, matunda, socket za
umeme, nazi, vitumbua, mbolea, mitumba
grade 1, supu ya utumbo na kongoro, mabati,
vocha, mtego wa panya, pembejeo, rim
papers makabati ya nguo, oil chafu,
computer, simu, pochi, juice na mbogamboga,
mbao,
..........................
Mwalimu wa kiswahili anamtokea dentiii.Nakupenda kama ngoswe alivyompenda mazoea.Mimi na wewe katika dunia ni kama kiima na kiarifu katika sentensi.Mwili wako umejaa vivumishi kama vile mzuri,mtam na kazalika.Matendo yako yamejaa vielezi kama vizuri,polepole nakazalika.Mapenzi yangu kwako yana muda mrefu kama fasihi simulizi na ninakwambia wazi ili tukutanishe fanani na hadhira.Usitose 7babu "usiache mbachao kwa msala upitao".
.......................
1. Ujinga ni Kuweka Majani ya Chai kwenye Sprite ili iwe Cocacola.
2. Ujinga ni kufikiri mzungu ana kivul cheupe.
3. Ujinga ni kudhan kuwa kuna wakala wa fb pesa.
4.Ujinga ni Kumkimbia simba porini wakait ulikuwa unaenda kujinyonga
.............................
Kibaka kaingia nyumba
flani kaiba tv akaanza
mbio uku kajitwisha tv
kumbe mle alipoiba
kuna chizi likaanza
kumfukuza,kibaki kila
akikata kona yule chizi
anae tu wamekimbizana
sana ikabidi kibaka
asalimu amiri
akasimama,mara yule
Chizi huyu hapa mbele ya
kibaka anamwambia
ulikua umesahau remote
hii hapa chukua.....
.............................
Jamaa flani alikuwa amelala
na mkewe
saa nane za usiku
wakaamshwa na
mtu akipiga hodi mlangoni
kwao.
Wakabishana nani
afungue....hatimaye
mume akaenda kufungua
mlango
akiwa na usingizi
mwingi,akamkuta
jirani yake mlevi mlangoni
JAMAA:"Nini tena mkubwa
mbona
kuamshana saa hizi?"
MLEVI:"Naomba uje
unisukume"
Jamaa akajua labda gari la
huyu mlevi
limenasa kwenye
tope,akamwambia "subiri
nivae viatu"
Baada ya kuvaa viatu akatoka
na
kuanza kuandamana na mlevi.
Mlevi akaongoza njia mpaka
kwenye
mabembea,akakaa kwenye
bembea
moja,akamgeukia yule jamaa
na
kumwambia "Okay nisukume"
/////////////////////////////
Binti: Hello baba,
Baba: Sema binti yangu
Binti: Nimempenda huyu
mlinzi
wa hapa nyumbani,
nimeamua
kutoroka nikaolewe nae.
Baba: Pumbafu kweli wewe
unadhani ntashtuka? Safari
njema
na nisikuone tena sura yako.
Binti: Samahani baba,
nilikuwa
nakusomea barua aliyoacha
mama,
Baba: Umesema?????
.................................